by Marynjelie KPTL | Aug 10, 2022 | Uncategorized
NEWCASTLE /KIDERI / MDONDO Dalili kuu ni Kupinda shingo juu au chini, mwendo wa kuzungukazunguka, kutembea mwendo wa kurudi nyuma huku kichwa kikiwa kimepinda chini au juu. Dalili isiyo kuu ni mharo rangi ya kijani. KIDERI Tiba: Ugonjwa huu husababishwa na virusi hiyo...
by Mr Elly | Oct 9, 2021 | Uncategorized
Leo ningependa ku “share” nanyi walau tujue kwa uchache chimbuko la kuku hawa wafugwao.Kuku wa kwanza kufugwa alikuwa ni “Redfowl Jungle” miaka 4000 iliyopita. Lengo la kufuga kuku hawa ilikuwa ni kwa ajili ya maonesho ya mapigano na urembo...
by Mr Elly | Oct 8, 2021 | Uncategorized
Sanjari na faida kubwa inayopatikana katika ufugaji wa kuku kuna mambo ambayo ni lazima ujifunze ili yaweze kukusaidia katika uendeshaji wa biashara ya ufugaji kuku kwa manufaa makubwa. Unapaswa kuhusika kikamilifu katika kujifunza baadhi ya mambo ambayo ni kama...
by Shukuru Amos | Jun 9, 2020 | Uncategorized
Ufugaji wa kuku kibiashara ni mgodi wa dhahabu unaokua kwa kasi duniani na Afrika kwa sasa. Ufugaji wa kuku ni chanzo kikubwa cha ajira katika sehemu nyingi za dunia kwa mfano TANZANIA. Kuna Zaidi ya ndege million 100 katika mashamba tofauti TANZANIA, lakini hii...
by Shukuru Amos | Apr 26, 2020 | Uncategorized
This article was first published on the blog of Bill Gates If you were living on $2 a day, what would you do to improve your life? That’s a real question for the nearly 1 billion people living in extreme poverty today. There’s no single right answer, of course, and...
by Shukuru Amos | Apr 26, 2020 | Uncategorized
Kuna njia tofauti za kuanza au kuongeza mtaji kwa mfugaji wa kuku kama vile, kununua kuku wakubwa, vifaranga kutoka kwa wafugaji wengine au kuzalisha vifaranga wako wewe mwenyewe. Kupunguza gharama za ufugaji kwa mfano chanjo na tiba;Kwa wafugaji wengi ambao wana...