MAGONJWA MAKUU YA KUKU. DALILI NA TIBA ZAKE

NEWCASTLE /KIDERI / MDONDO Dalili kuu ni Kupinda shingo juu au chini, mwendo wa kuzungukazunguka, kutembea mwendo wa kurudi nyuma huku kichwa kikiwa kimepinda chini au juu. Dalili isiyo kuu ni mharo rangi ya kijani. KIDERI Tiba: Ugonjwa huu husababishwa na virusi hiyo...

KUKU WA KWANZA KUFUGWA DUNIANI

Leo ningependa ku “share” nanyi walau tujue kwa uchache chimbuko la kuku hawa wafugwao.Kuku wa kwanza kufugwa alikuwa ni “Redfowl Jungle” miaka 4000 iliyopita. Lengo la kufuga kuku hawa ilikuwa ni kwa ajili ya maonesho ya mapigano na urembo...
MBINU BORA ZA UFUGAJI WA KUKU KIBIASHARA

MBINU BORA ZA UFUGAJI WA KUKU KIBIASHARA

Ufugaji wa kuku kibiashara ni  mgodi wa dhahabu unaokua kwa kasi duniani na Afrika kwa sasa. Ufugaji wa kuku ni chanzo kikubwa cha ajira katika sehemu nyingi za dunia kwa mfano TANZANIA. Kuna Zaidi ya ndege million 100 katika mashamba tofauti TANZANIA, lakini hii...
Bill Gates, Why I Would Raise Chickens

Bill Gates, Why I Would Raise Chickens

This article was first published on the blog of Bill Gates If you were living on $2 a day, what would you do to improve your life? That’s a real question for the nearly 1 billion people living in extreme poverty today. There’s no single right answer, of course, and...