KUKU WA KWANZA KUFUGWA DUNIANI

Leo ningependa ku “share” nanyi walau tujue kwa uchache chimbuko la kuku hawa wafugwao.Kuku wa kwanza kufugwa alikuwa ni “Redfowl Jungle” miaka 4000 iliyopita. Lengo la kufuga kuku hawa ilikuwa ni kwa ajili ya maonesho ya mapigano na urembo...