MAGONJWA MAKUU YA KUKU. DALILI NA TIBA ZAKE

NEWCASTLE /KIDERI / MDONDO Dalili kuu ni Kupinda shingo juu au chini, mwendo wa kuzungukazunguka, kutembea mwendo wa kurudi nyuma huku kichwa kikiwa kimepinda chini au juu. Dalili isiyo kuu ni mharo rangi ya kijani. KIDERI Tiba: Ugonjwa huu husababishwa na virusi hiyo...