Huduma Zetu
Pata faida maradufu katika mradi wako wa kuku kwa kutumia vifaranga bora na vifaa vya kisasa vitakavyo kufanya ukuze uzalishaji. Tazama aina ya vifaranga na vifaa vyetu hapa chini.
Vifaranga vya Kuku
One Day Old chicks – Indian local breed (Kuroiler)
One Month Old chicks – Indian Local breed (Kuroiler)
One Day Old chicks – Layers (Egg Laying Chicks)
One Day Old chicks – Broilers (Kuku wa Nyama)
Vifaa vya ufugaji kuku
Automatic Drinker (Vifaa vya kunyweshea Maji)
Mabanda ya kisasa (CAGES) ya kufugia kuku.
Debeaker Machine: Mashine ya kukatia midomo ya kuku
MASHINE ya kutotoa mayai (INCUBATOR)
Chicken Food Mixer. Mashine za kuchanganyia chakula
Heater/Warm Bulb. Vifaa vya Joto
Pallete Machine 300-1500Kg/H
Automatic Feeding System. Mfumo wa kulisha kuku
Ushauri na usimamizi
Huduma za kitabibu kuhusu kuku (VETERINARY) services
Ushauri (Consultation) na usimamizi mashamba