BADILI MAISHA YAKO KUPITIA UFUGAJI KUKU
Pata Ushauri, Vifaa na Vifaranga Bora
Wengi wamenufaika na huduma zetu kwa zaidi ya miaka 7. Ni zamu yako sasa kukuza mradi wako.
Uzalishaji Vifaranga
Usipate shida kuhusu kupata vifaranga bora. Tunazalisha vifaranga wa siku na wa mwezi aina ya kuroiler na layers. Ni vifaranga bora na utawapata wakiwa na chanjo zote za awali.
Vifaa vya Kisasa
Tunauza vifaa bora na vya kisasa kwaajili ya ufugaji kuku na biashara kwa ujumla. Vifaa vyetu ni vya kisasa na imara hivyo hudumu kwa muda mrefu.
Chakula Bora
Tunazalisha na kusambaza chakula cha kuku chenye kuleta matokeo chanya ndani ya muda mfupi. Kuku wako watatoa MAYAI mengi na uzito kwa kuku wa NYAMA.
Pata Ushauri, Farm Management and Consultation
Kupitia wataalam wetu waliobobea katika ufugaji wa kuku kibiashara, tunatoa huduma ya ushauri na usimamizi wa mashamba au mabanda ya kuku kwa wafugaji wote wapya na wa zamani. Karibu tukuhudumie.
SHUHUDA ZA WATEJA WETU
UNASUBIRI NINI?
Ungana na mamia ya watanzania walioweza kuiniua uchumi wao na wa taifa kwa ujumla kupitia miradi ya ufugaji wa kuku. Wengi wamenufaika na huduma zetu kwa zaidi ya miaka 7 sasa. Kuwa mmoja ya wanufaika wa huduma zetu leo.
Anza kufuga sasa
© 2021 Kuku Project Tanzania Limited