by Shukuru Amos | Apr 26, 2020 | Uncategorized
Kuna njia tofauti za kuanza au kuongeza mtaji kwa mfugaji wa kuku kama vile, kununua kuku wakubwa, vifaranga kutoka kwa wafugaji wengine au kuzalisha vifaranga wako wewe mwenyewe. Kupunguza gharama za ufugaji kwa mfano chanjo na tiba;Kwa wafugaji wengi ambao wana...