by Shukuru Amos | Jun 9, 2020 | Uncategorized
Ufugaji wa kuku kibiashara ni mgodi wa dhahabu unaokua kwa kasi duniani na Afrika kwa sasa. Ufugaji wa kuku ni chanzo kikubwa cha ajira katika sehemu nyingi za dunia kwa mfano TANZANIA. Kuna Zaidi ya ndege million 100 katika mashamba tofauti TANZANIA, lakini hii...