Kwa kuongeza mapato katika ufugaji wako wa kuku ni bora kutumia vifaa bora vya Ufugaji kuku kutoka KPTLEQUIPMENT pekee..
KptlEquipment kwa miaka 10 ya uuzaji na usambazaji wa zana za ufugaji kuku kisasa tumekuletea Mikopo ya zana za ufugaji kwa kushirikiana na kampuni ya PASS LEASING..
Mikopo hii ni mkombozi wa uwekezaji katika sekta ya ufugaji kuku kwani mikopo hii inatolewa TANZANIA nzima kwa masharti nafuu sanaa.
Mikopo hii isiyo na dhamana na riba nafuu inatolewa kwa wafugaji wenye uzoefu na wasio na uzoefu kwa mda wa kuanzia mwaka mmoja hadi miaka mitatu.
Hakikisha fursa hii haikupiti wewe kama mfugaji.
Soko la mazao ya kuku kama nyama na mayai bado alikidhi mahitaji nchini hivyo kutoa fursa kubwa kwa wafugaji wapya na wazamani kwenye kukuza miradi yao.
Kupitia huduma yetu ya Ushauri kwa wafugaji utapata mwanga wa kujua aina gani ya uwekezaji inaendana na mtaji wako.
Tembelea kurasa zetu za kijamii kwa taarifa za kila siku za ufugaji na masoko.
BIDHAA ZILIZOKO KWENYE MIKOPO
~Layers &Broiler Cage
~Automatic Incubator~Grinder &Mixer Machine
~Automatic Drinker
~Pellet Machine
~Automatic Feeding Line ~Bidhaa za kiwandani kwaajil ya uzalishaji chakula cha kuku
~Slaughting unit equipment.
-Silo nk..